Ungependa kufanya nini sasa hivi?

Tunakusogezea Karibu Huduma Za Kanisa

Panga kikao na Paroko

Tazama ratiba ya paroko na uchague muda mzuri wa kuonana nae

Endelea
Omba Sakramenti

Tuma maombi ya sakramenti za Ndoa, Ubatizo, Komunio Takatifu na Kipaimara

Endelea
Soma Matangazo

Pitia taarifa za fedha na matangazo mengine ya parokia

Endelea
Lipa Zaka na Sadaka

Changia maendeleo ya parokia kwa malipo ya zaka na majitoleo mengine

Itakujia hivi punde

Kuhusu Parokia

Parokia ya Mtakatifu Dominico Guzman ilianzishwa rasmi mwaka 1990 kama sehemu ya Kigango cha Parokia ya Salasala. Tunakaribisha waumini wote na watu wenye mapenzi mema kujiunga nasi katika safari yetu ya imani na utumishi. Ushirikiano wetu na jumuiya ni msingi wa mafanikio yetu, na tunawaalika wote kushiriki kikamilifu katika shughuli zetu za parokia.

Soma zaidi

Muhtasari wa Matukio

Tamasha La Vijana Bagamoyo

Tamasha la Beach Mass linatarajiwa kufanyika mwwishoni wa mwezi ujao. Vijana mnahimizwa kushiriki

Soma zaidi
Paroko awasihi wenye uchumba sugu

Mheshimiwa Baba Paroko anawaomba wale wote wenye uchumba sugu kuonana nae. Ameahidi kuwafungisha ndoa

Soma zaidi

Viongozi Wetu

Una kero au wazo lolote? Toa maoni yako hapa