Tunakusogezea Karibu Huduma Za Kanisa
Changia maendeleo ya parokia kwa malipo ya zaka na majitoleo mengine
Itakujia hivi pundeParokia ya Mtakatifu Dominico Guzman ilianzishwa rasmi mwaka 1990 kama sehemu ya Kigango cha Parokia ya Salasala. Tunakaribisha waumini wote na watu wenye mapenzi mema kujiunga nasi katika safari yetu ya imani na utumishi. Ushirikiano wetu na jumuiya ni msingi wa mafanikio yetu, na tunawaalika wote kushiriki kikamilifu katika shughuli zetu za parokia.
Soma zaidiTamasha la Beach Mass linatarajiwa kufanyika mwwishoni wa mwezi ujao. Vijana mnahimizwa kushiriki
Soma zaidiMheshimiwa Baba Paroko anawaomba wale wote wenye uchumba sugu kuonana nae. Ameahidi kuwafungisha ndoa
Soma zaidi